kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Mwambie amtafute Dabo amfanyie kiitikio huyu jamaa ana sauti nzuri saana.Nitakuunganisha na Mujwahuki na duke njoo PM
Sure hata hemedi ngwesa nae nomaMwambie amtafute Dabo amfanyie kiitikio huyu jamaa ana sauti nzuri saana.
[- hakuna mkono bila begaaa aah
-DJ na waandishi wa habari]
Alifanya poa.
Mkuu unajua kuchana na kuandika kweli. Sio tunasumbuana tu kumbe punchlines zako ni
Napiga tik taka, na mademu kunitaka.
Mkuu unamjua Mujwahuki?Nitakuunganisha na Mujwahuki na duke njoo PM
Sana innocent mujwahukiMkuu unamjua Mujwahuki?
Kupeleka redioni ni kuzinguana na watu tu.....huwa nataman nifanye ngoma kali ya ki-hardcore yenye mesej ya maana na chupa la kinyamwez ila walioshika remote ya mainstream ndio wachawi wa underground Hip hop genre ambayo ni pure based on social liberation.kama ni nyimbo za kusikiliza geto tu hata mimi naweza kukurekodia na ukajisikiliza mwenyewe, ila kwa ushauri tu, why utumie hela zako kurekodi wa kuskiza geto tu kutoka kwa hao uliowataja, wakati unaweza kuupeleka radio?
Mkuu cyo tu najua kuchana... i just wanna bring revolution in lyrical,rhythimical and heavy messaged projec under Underground HIP HOP genre.....tumechoka na whac rapersMkuu unajua kuchana na kuandika kweli. Sio tunasumbuana tu kumbe punchlines zako ni
Napiga tik taka, na mademu kunitaka.
U can't be seriousSure hata hemedi ngwesa nae noma
Ebu tujuze kuhusu huyu jamaa. Maana ni dyuza mkali sanaaaaSana innocent mujwahuki
Mchek duke twitter anajibu af hao akina palla texas chukua email zao insta utawasiliana nao...Mm Hip hop fan pia composer and raper. Natamani kufanya kazi na Duke,Palla,texas au ray teknohama. Nataka nirekod wimbo wa kusikiliza tu ghetto sio wa kupeleka redioni. Naomba kama wapo jf wani PM au watu wao wa karib kama wamo humu wani PM pi.
Dabo n mtu mbaya sanaMwambie amtafute Dabo amfanyie kiitikio huyu jamaa ana sauti nzuri saana.
[- hakuna mkono bila begaaa aah
-DJ na waandishi wa habari]
Alifanya poa.
Mpenda mcheleSana innocent mujwahuki
Unataka kujua alipo au bei zake za productionEbu tujuze kuhusu huyu jamaa. Maana ni dyuza mkali sanaaaa