Namtafuta producer yeyote wa tamaduni

Namtafuta producer yeyote wa tamaduni

Music biashara mkuu hasa kwa siku hizi, hao unaosema unawaimbia mbona hawanunui au kusikiliza nyimbo zinazowasemea wako busy kusikiliza nyimbo za starehe tu
 
Kupeleka redioni ni kuzinguana na watu tu.....huwa nataman nifanye ngoma kali ya ki-hardcore yenye mesej ya maana na chupa la kinyamwez ila walioshika remote ya mainstream ndio wachawi wa underground Hip hop genre ambayo ni pure based on social liberation.
Eti Kanali mstaafu [emoji6][emoji6][emoji6] hyo ID
 
Tujichange mkuu tufanye kazi moko ya kusklzia getho. Nataman sna kusema na booth..
 
Back
Top Bottom