Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Nakisalimia mama mkubwa.kwani nilikua namtafuta
marahabaaNakisalimia mama mkubwa.
Hahahaha nakumiss wew MTU...nami nidandie ju kwa juu namtafuta rafiki yangu humu....we rafiki njoo poem bathiNgoja na mie nidandie uzi wako kumtafuta MBITIYAZA na miss chagga
Umepotea kweli shost. nimefurahi kuona kumbe upoHahahaha nakumiss wew MTU...nami nidandie ju kwa juu namtafuta rafiki yangu humu....we rafiki njoo poem bathi
Ndugu Yangu Embu Nieleze Ujuaji Wa El Magnifico?Maana Toka Amejiunga 2012 Ni Mmoja Kati Ya Rafiki Zangu Na Sijaona Ujuaji Wake Zaidi Ya Kueleza Anayoyafahamuelmagnifico inawezekana ni mmoja katika wale waliouawa Kibiti,au waliookotwa kwenye viroba cocobeach..,alijifanya anajua sana,watanzania hatutakiwi tuwe tunajifanya tunajua sana..
Comment nimefuta,naona niliteleza kidogo mkuu,...kumradhi sijafikiria kuwa uko serious kiasi hichi,mimi nilikuwa katika utani tu, MkuuNdugu Yangu Usiwe Hivyo Kuwaombea Au Kuwatakia Watu Mabaya,kupishana Kimtizamo Humu Isitufikishe
Ndugu Yangu Embu Nieleze Ujuaji Wa El Magnifico?Maana Toka Amejiunga 2012 Ni Mmoja Kati Ya Rafiki Zangu Na Sijaona Ujuaji Wake Zaidi Ya Kueleza Anayoyafahamu
Halafu Hii Comment Yako Imekaa Kimlengo Wa Kushoto,kuna Kipindi Kuna Mambo Yanasumbua Kichwa,umebanwa Unaumwa Mitandaoni Huonekani Na Ndo Kwa El Kilichomtokea
kuna post ya mama sabrina inasema mwenzetu kapata ajali kadondokewa na vioo mikononi na kifuani anatibiwa moiComment nimefuta,naona niliteleza kidogo mkuu,...kumradhi sijafikiria kuwa uko serious kiasi hichi,mimi nilikuwa katika utani tu, Mkuu
Mungu atampa uzima..Ahsante,na huo ndo ugt wenyewe kuna post ya mama sabrina inasema mwenzetu kapata ajali kadondokewa na vioo mikononi na kifuani anatibiwa moi
Umepotea kweli shost. nimefurahi kuona kumbe upo