Namtafuta rafiki angu (Jf Member) Elmagnifico..

Huyu jamaa nilipanda nae ndege Emirate kutoka Dar yeye kuelekea Mwanza, mimi nikashukia Dodoma Airport yeye alikuwa anaelekea Mwanza.. Nafikiria ni majukumu ya kawaida yamemweka buys
 
Ndugu Yangu Usiwe Hivyo Kuwaombea Au Kuwatakia Watu Mabaya,kupishana Kimtizamo Humu Isitufikishe
elmagnifico inawezekana ni mmoja katika wale waliouawa Kibiti,au waliookotwa kwenye viroba cocobeach..,alijifanya anajua sana,watanzania hatutakiwi tuwe tunajifanya tunajua sana..
Ndugu Yangu Embu Nieleze Ujuaji Wa El Magnifico?Maana Toka Amejiunga 2012 Ni Mmoja Kati Ya Rafiki Zangu Na Sijaona Ujuaji Wake Zaidi Ya Kueleza Anayoyafahamu
Halafu Hii Comment Yako Imekaa Kimlengo Wa Kushoto,kuna Kipindi Kuna Mambo Yanasumbua Kichwa,umebanwa Unaumwa Mitandaoni Huonekani Na Ndo Kwa El Kilichomtokea
 
Ndugu Yangu Usiwe Hivyo Kuwaombea Au Kuwatakia Watu Mabaya,kupishana Kimtizamo Humu Isitufikishe

Ndugu Yangu Embu Nieleze Ujuaji Wa El Magnifico?Maana Toka Amejiunga 2012 Ni Mmoja Kati Ya Rafiki Zangu Na Sijaona Ujuaji Wake Zaidi Ya Kueleza Anayoyafahamu
Halafu Hii Comment Yako Imekaa Kimlengo Wa Kushoto,kuna Kipindi Kuna Mambo Yanasumbua Kichwa,umebanwa Unaumwa Mitandaoni Huonekani Na Ndo Kwa El Kilichomtokea
Comment nimefuta,naona niliteleza kidogo mkuu,...kumradhi sijafikiria kuwa uko serious kiasi hichi,mimi nilikuwa katika utani tu, Mkuu
 
Ahsante,na huo ndo ugt wenyewe
Comment nimefuta,naona niliteleza kidogo mkuu,...kumradhi sijafikiria kuwa uko serious kiasi hichi,mimi nilikuwa katika utani tu, Mkuu
kuna post ya mama sabrina inasema mwenzetu kapata ajali kadondokewa na vioo mikononi na kifuani anatibiwa moi
 
Ahsante,na huo ndo ugt wenyewe kuna post ya mama sabrina inasema mwenzetu kapata ajali kadondokewa na vioo mikononi na kifuani anatibiwa moi
Mungu atampa uzima..
 
Back
Top Bottom