Namtafuta rafiki tuliepotezana kitambo

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
Jina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, waliishi mbeya eneo la Ghana....

Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....

Anaemfahamu anijuze
 
Jina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, Waliishi mbeya Eneo la Ghana....

Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....

Anaemfahamu anijuze

Tupatupa, mpiga uzi, mama moshi. Hayo majina tu yanaonekana hayapo tena.🤣🤣
 
Santino unataka kunichekesha usiku huu..
 
Jina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, Waliishi mbeya Eneo la Ghana....

Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....

Anaemfahamu anijuze
Mi mwenyewe kuna mshikaji namtafuta kitambo huu mwaka wa saba, ngoja na mi nianzishe uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…