Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, Waliishi mbeya Eneo la Ghana....
Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....
Anaemfahamu anijuze
Mi mwenyewe kuna mshikaji namtafuta kitambo huu mwaka wa saba, ngoja na mi nianzishe uziJina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, Waliishi mbeya Eneo la Ghana....
Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....
Anaemfahamu anijuze