Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

Mkulu wawe

Member
Joined
Mar 4, 2020
Posts
87
Reaction score
111
Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM
Nakutafta sana
 
Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM
Nakutafta sana
Ungedokeza kidogo mazingira mlopotezana kwani mtu kama huyu anaweza kuwa zaidi ya mmoja hasa maeneo ya upareni(Mbaga,Vudee na Chome)
 
Mbanzingwa lkn tumezoea kumwita hvo kama unamjua niunganishe nae
Mbazingwa mkiramwene ,mrefu mwembamba... kwao mbeya,simike.kichwani alikua good class,kama ni huyo kuna watu wanaweza nipatia.
 
Zamani kulikua na kipindi radio free kinaitwa "Search Line" hicho kipindi kilikua kinaunganisha sana watu waliopoteana sijui kama bado kipo
 
Back
Top Bottom