Namtafuta rafiki yangu mzanzibar Wahida Mohammed (Entry UDSM 2006)

Namtafuta rafiki yangu mzanzibar Wahida Mohammed (Entry UDSM 2006)

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Namtafuta dada yangu huyu na rafiki yangu kipenzi Wahida Mohamed alisoma pale udsm tulianza mwaka 2006 akisomea Chemistry, mara ya mwisho kuwasiliana nae 2013 alikuwa akifanya kazi/intern pale ZBS, zanzibar. Kama akiiusoma uzi huu tafadhali tuwasiliane inbox. Au yeyote mwenye kufahamu na mawasiliano yake tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom