everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Nahisi kama nakujua[emoji1787][emoji1787],kwa kweli katika entry iliyomaliza mwaka ule Wahida peke yake ndo kajificha sana anyway ukimpata tustuane,ila nasikia anafanya kazi kwa mkemia mkuu Zanzibar embu funga safari unaweza kupata more details pale.