Namtafuta rafiki yangu mzanzibar Wahida Mohammed (Entry UDSM 2006)

Nahisi kama nakujua[emoji1787][emoji1787],kwa kweli katika entry iliyomaliza mwaka ule Wahida peke yake ndo kajificha sana anyway ukimpata tustuane,ila nasikia anafanya kazi kwa mkemia mkuu Zanzibar embu funga safari unaweza kupata more details pale.
 
Wacheki hao ZBS wakupe mawasiliano
 
Nahisi kama nakujua[emoji1787][emoji1787],kwa kweli katika entry iliyomaliza mwaka ule Wahida peke yake ndo kajificha sana anyway ukimpata tustuane,ila nasikia anafanya kazi kwa mkemia mkuu Zanzibar embu funga safari unaweza kupata more details pale.
Hata mie nakufahamu si ulikuwa unasoma zoology? πŸ™„ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…