Namtafuta Rafiki yangu Nyachiro Alfred popote alipo

Namkumbuka huyo alikuwa class mate wangu zanaki, form 3 akachukua biashara mie nikabaki na pure arts darasa J A.
 
Alishaolewa
 
Enzi zenu neno kipaji lilikuwa na maana gani?
 
Na utakufa leo ma konyo eti umesoma shule ya vipaji maalum.
Ndio maana unaisoma namba unamtafuta mwenzio umtoe za kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…