Namtafuta Rafiki yangu Nyachiro Alfred popote alipo

Namtafuta Rafiki yangu Nyachiro Alfred popote alipo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Miaka mingi imepita, tulikutana jijini Dar tukiwa wanafunzi mimi nilikuwa Airwing, yeye alikuwa kama sikosei Kibasira kama sio itakuwa zanaki au jangwani kati ya shule hizo.

Tulipotezana tulipo maliza o level yeye alichaguliwa kama sikosei ni jangwani au zanaki.

Mimi nikatupwa Azaboy shule la wazee wenye vipaji vyao,wewe unae soma haoa kama ukusoma shule za vipaji miaka hiyo jua ulikuwa KILAZA tu hata kama sasahiv upo juu kimaisha ila still wewe ni KILAZA.

Kilichotutenganisha ni iki yeye alichagukiwa kombi nasema kombi sjui mpaka leo mwaita hivyo?tofauti na yangu popote alipo anae mjua amwambie rafiki yako sifi leo anakutafta nikusalimu tu best yangu- nmekumbuka jinsi tulivyokuwa tunafundishana BOOK KEEPING aise Mungu akubariki popote ulipo ila njoo nikusalimu.
 
Hauna lengo la kumtafuta rafiki yako bali unajigamba tu hapa.
Sasa hata nisinge jigamba wewe ungegambia? Kama unamjua niambie sasa kukuita kilaza ndo nimejigamba?
 
Tatizo ninyi mnaishi na historia ya nyuma kila unasimuli mara ukisoma shule ya vipaji maalumu, mara ulipata wani kali, mara G.P.A kubwa sasa CHEKI MAISHA YALIVYOKUPIGA FIMBO. Kula sasa hiyo g.p.a, vipaji maalumu na one kali? Ona uliokuwa unawazarau ni vilaza.darasani walivyotusua kimaisha na kuwa na familia bora
 
Sasa baada ya kusoma shule ya vipaji hadi leo unamiliki azam fc au ni wale wa kutembelea viatu adi vinasagika sori
 
Mwenye kusoma vipaji wewe, kweli ... masikini akipata matak o hulia pwaaa.
 
Kuna mdada anajina kama hilo ofisini ya jirani hapo, Lakini siwezi muuliza kwa sababu wewe ameleta mambo ya vipaji maalumu
 
Kuna mdada anajina kama hilo ofisini ya jirani hapo, Lakini siwezi muuliza kwa sababu wewe ameleta mambo ya vipaji maalumu
Sasa unanichukia kisa wewe ukusoma huko?
 
Back
Top Bottom