Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi mr Twalal Bungera, mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 2014 tukiwa Tamil Nadu nchini India.

Mr Twalal Bungera nilipata tetesi alipata ajira kwenye makampuni ya IPP ya marehemu Reginald Mengi.

Kwa yeyote mwenye taarifa zake anicheki pm
 
Sema 2014 mbona mitandao ilishakuepo hakujiunga na mtandao wowote?
 
Back
Top Bottom