si ununue laptop mkuu?
na mimi namtafuta Husninyo,mara ya mwisho nilikuwa naye Namnani gest sinza.
Nashauri watawala wa JF waangalie uwezekano wa kuunda jukwaa la 'Lost and Found' ambapo wanachama waliopoteana na watu wao wa zamani watafunguka huko.
Maana huwezi jua unaweza ukawa ulipotezana na mtu kwa muda mrefu na kumbe wote mkawa wanachama hapa JF.
ili niwe nazo ngapi?
Muambie laptop na netbook unazo, zikimtembelea akuletee iPad,lol
ningedu ila si unajua tena mambo ya via mobile. Ila usikonde wala nini hamisi kishindindo.
Namtafuta.
sijuwi nitamuona wapi na vipi, nikiwa msichana wa miaka 16 tulikutana kariakoo ZANZIBAR kwenye viwanja vya sikukuu, siku ya pili tulikutana hapo hapo na kuelekea alikokuwa akiishi, kunaitwa Kilimani, tokea hapo hatukuonana tena miaka mingi imepita.wakati huo hakukuwa na simu za mikononi , hatukuwa na mawasiliano tena na vile alikuwa mgeni pale ZENJ , alihama na kupotea moja kwa moja. hivi nitampata kweli ?