Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Mzee Genta kukaa nje ya tasnia (uchambuzi) haimaanishi huifahamu tasnia. Kongole kwako kwa maoni yako ndani ya huu uzi. Walikushambulia sana lakini muda umesema!!
 
Mbabe kapatikana bondeni

 
Mkuu ungekua mtu wa betting leo ungempiga mhindi mpaka angejuta 🤣
 
4GB
 
Sawa...tusubiri matokeo ndipo tujue ukweli wa hoja yako
 
Sawa...tusubiri matokeo ndipo tujue ukweli wa hoja yako
Muhimu kujipa matumaini. Ila tuwe honest. Tutashinda Tanzania, lakini hii timu ina uwezo wa kupata walau goal moja wakiwa Tanzania. Je, tunaweza wafunga magoli matano na zaidi? Mlima mrefu.
 
Utopolo wanakosa furaha kwenye timu yao wanatafuta furaha kwenye timu nyingine
Acha ( Acheni ) Watucheke tu kwani tumefungwa Kipumbavu sana na Complacency kwa Wachezaji wetu imetugharimu na bado tunapenda Kuishi Kienyeji Kienyeji ( Kimazoea ) wakati Mpira wa sasa duniani umebadilika mno na ni wa Kisayansi zaidi kuliko Wetu wa kuamini tu Uchawi na Fitna za nje ya Uwanja ( hasa ile ya Kuwapulizia ) Wapinzani 4-4-2 Vyumbani mwao. Tubadilike!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…