Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Kaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana 'Hitman' wao Mmoja huyu Yeye katika mipira ya Krosi Mitano Mitatu lazima akuumize na ana uwezo kwa Kukunjuka kwa Kupiga Miwa ( Mashuti ) ya maana kokote pale na ikawa imo.
Hapa ulimaliza.. maana jamaa kapata nafasi 3 na mbili kaweka.
Tshabalala alitoa assist jamaa akakunjuka MUWA wa Hatari sana.
 
Wewe si ndio unaleta story kuwa ili timu ishinde inabidi wafanye vitu fulani kwa maagizo ya waganga
Kwani lazima Mambo haya ( hayo ) yafanyike Hadharani ( tena Kipumbavu ) kabisa kama ambavyo Simba SC huwa tunafanya?
 
Daa nilichelewa kuona hili bandiko, lakini mkuu kile ulichokua umeandika ndio kilichotekea. Basi tena inabidi turudi kujipanga upya kwa michuano ijayo sababu safari ndio imeishia kule bondeni.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Matokeo gani tena unayasubiria?
Yale ya kwa Mkapa...tutampiga mtu 5-0 na kupindua meza...tuliwahi kufanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma ...Tulifungwa pale shamba la Bibi 4-0 na timu moja ya Zambia ...tukaenda kwao Zambia tukapindua meza na kuwachapa 5-0 mbele ya Kaunda...tukasonga mbele..
 

Enzi za mkoloni...mpira unachezwa bila kadi nyekundu.. rafu ruksa
 
Upo vizuri kwa uchambuzi Mkuu GENTAMYCINE sio wale wengine washabiki uchwara wasiojua Mpira wao ni kushabikia tu na kutukana hawataki kuanalyse Mpira katika ukweli wake na uhalisia.
 
Endelea ( Endeleeni ) tu Kujidanganya.
 
Hongera uliona mbali
 
We jamaa uandishi wako ni kama 'mjinga mjinga hivi' ila hapana shaka una akili kubwa na fikra pevu sana. Kile alichokisema kimetokea kwa zaidi ya asilimia 85. Anyway simba atashinda kwa mkapa ila sijui kama atafikisha goli 3.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…