Namtafuta smile

Namtafuta smile

Aaahaaaa SHIKA ka kwea pipa Na shigongo kwenda kwao kuangalia kabur la Baba yake

Duuh haa leo au? Shigongo hapo anatafuta hela tu, anamwandika auze magazeti yake, kisha mabilioni yakija, Shigongo anaweza mtapeli mzee wa watu aisee.. Shigongo haaminiki yule
 
Duuh haa leo au? Shigongo hapo anatafuta hela tu, anamwandika kisha mabilioni yakija, Shigongo anaweza mtapeli mzee wa watu aisee.. Shigongo haaminiki yule
IMG-20171120-WA0030.jpg
IMG-20171120-WA0030.jpg
IMG-20171120-WA0030.jpg
 
Shika hivi ana deal gani Zaidi ya lile la tangazo la mpira...soka beti sijui hv..alilopata 20 million??
Maana naona jamaa anang'aa balaa..mbona 20m ni ndogo.ikiisha watu watamkimbia huyo....ndugu zake wamsaidie kumshauri maana hawa mastaa wetu sio watu wazuri....hasa hasa huyo shihongo mhh mtafuta ela akae mbali
 
Back
Top Bottom