Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahaaaa SHIKA ka kwea pipa Na shigongo kwenda kwao kuangalia kabur la Baba yakeYuko kwa Dr. Shika
Aaahaaaa SHIKA ka kwea pipa Na shigongo kwenda kwao kuangalia kabur la Baba yake
Duuh haa leo au? Shigongo hapo anatafuta hela tu, anamwandika kisha mabilioni yakija, Shigongo anaweza mtapeli mzee wa watu aisee.. Shigongo haaminiki yule