Namtafuta The Boss

Namtafuta The Boss

mno mno Yani.. bado mimi tu kupotea hahahahaha. as days go majukumu yanaongezeka mambo yanazidi kuingiliana mwisho wa siku ndoivo... mambo mengi yanachangia lakini

Cc Smart911
Kabisaa!wengine wameolewa mume anakeep busy jamani!!haswaa akiwa hataki uwe kwenye social media,mtoto ndo usiseme
 
[emoji3][emoji16][emoji16]we mahonda wewee!!majukumu yakizidi simu hata hamu inakwisha kabisaa!!

Acha kabisa Yani.. ukiachilia majukumu mengine kama mtu wako Yupo hom huwezi kuwa bize mitandaoni na simu sijui kompyuta. kama grown up and matured woman who knows her responsibilities you won't entertain that in the presence of your man.

cc Smart911
 
Kabisaa..!!upo sahihi haswaa!labda uwe na stress au mna maugomvi yenu hukoo ndo utaingia ila mko vzri kabisaa!nakaa hata wiki aisee bila hzo mambo!
 
Back
Top Bottom