Miss neddy,khantwe,Lara 1 haonekani sana humu
Jamani msifanye hvyooo!!Hahaha huyu alikuja humu kuomba msaada sijui alipewa!
Au ndo wewee...?!!sijui kwakweli,
labda ame'hackiwa ID yake...ngoja akija atasema mweyewe.
Kufanyaje?Jamani msifanye hvyooo!!
Kusema alikuja kuomba msaada!jamani kaah[emoji4] [emoji4] [emoji19] [emoji19]Kufanyaje?
Hawapo kabisaa yaani MMU imepoa mnooo!!!
Yaap!nakumbuka alipata almost laki NNE hivi alienda mbeya akafanikisha mambo yake
Hawapo kabisaa yaani MMU imepoa mnooo!!!
Wengi wako ktk magroup ya WhatsApp ,huku km wapo kwa ID nyingine au hawapo kbs ,ID kongwe tupo wachache, damu changa ndio wakati wao huuuMiss neddy,khantwe,Lara 1 haonekani sana humu
Kabisaa!wengine wameolewa mume anakeep busy jamani!!haswaa akiwa hataki uwe kwenye social media,mtoto ndo usisememno mno Yani.. bado mimi tu kupotea hahahahaha. as days go majukumu yanaongezeka mambo yanazidi kuingiliana mwisho wa siku ndoivo... mambo mengi yanachangia lakini
Cc Smart911
Yaap!kila zama na kitabu chake!kwa kweliWengi wako ktk magroup ya WhatsApp ,huku km wapo kwa ID nyingine au hawapo kbs ,ID kongwe tupo wachache, damu changa ndio wakati wao huuu
[emoji3][emoji16][emoji16]we mahonda wewee!!majukumu yakizidi simu hata hamu inakwisha kabisaa!!
[emoji3][emoji16][emoji16]we mahonda wewee!!majukumu yakizidi simu hata hamu inakwisha kabisaa!!
Kabisaa..!!upo sahihi haswaa!labda uwe na stress au mna maugomvi yenu hukoo ndo utaingia ila mko vzri kabisaa!nakaa hata wiki aisee bila hzo mambo!Acha kabisa Yani.. ukiachilia majukumu mengine kama mtu wako Yupo hom huwezi kuwa bize mitandaoni na simu sijui kompyuta. kama grown up and matured woman who knows her responsibilities you won't entertain that in the presence of your man.
cc Smart911