Namtafuta yule alietayari PM

Namtafuta yule alietayari PM

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Habari wana jukwaaaa

Mimi ni mtanzania mwenzenu nahitaji kwanamke wa kuustiri moyo wangu na kiwiliwili kwa ajili ya ndoa na sio ngono

Mwanamke awe ni miaka 30+
Awe ameolewa na kuachika
Awe na uwezo wa kuzaaa
Awe anajikimu kimaisha japo kwa 50%
Awe yiko tayari kuolewa
Awe mfanyakazi au anajishuhulisha
Awe anajua thamani ya kuolewa
Awe anajua umuhimu wa ndoa
Aweko tayari kuoshi sehemu yoyote Tanzania
Awe 5+ futi na kuendelelea
Muislamu atapewa kipao mbele na mkiristo lazima abadili dini

Jamaani nawahitaji waliotayari wani PM km haikuhusu naomba upite

Maelezo yangu binafi nitakupa baada ya kuni PM
 
Wewe si ulisema una mke.....halafu ile habari ya kazi ushapata?
 
sasa mwanamke aliachika kweli atajua thamani ya ndoa?
 
Back
Top Bottom