Afanye apate exposure mambo yanavoendaKwenye magroup pia tumepost mkuu bado hatujapata nafasi shule nyingi ni za mikoa ya mbali na wanaohitaji afanye interview
Anataka Shule za Dsm tuHabari wanajf,
Nina mdogo wangu kahitimu chuo kikuu kada ualimu masomo English na Kiswahili anaishi Dar es Salaam na Tanga
Hivyo basi kama kuna mwenye connection ya shule yoyote ya private katika mikoa hiyo naomba msaada wa kuniunganisha mdogo wangu apate nafasi ya kufundisha. Kuhusu level ya shule level yoyote anafundisha pia kama kuna mwenye connection ya shule ya kujitolea hasa ya Serikali naomba tuwasiliane nitashukuru Sana
Kuhusu malipo hata sio kipao mbele sana nitashukuru nikipata ushirikiano wenu namba 0683255226 ahsanteni
Kwani yeye hataki kufanya interview? Afanye tu huenda akapataKwenye magroup pia tumepost mkuu bado hatujapata nafasi shule nyingi ni za mikoa ya mbali na wanaohitaji afanye interview
Nilijua tu dogo rema utauliza hili swaliJinsia gani mkuu?
Acha wehu wako haji manaraNilijua tu dogo rema utauliza hili swali
angekuwa wa kike ninge mwambia ajaribu seminary fulani, maana pale huwa wana pokea pokea.Lete makonekshen kiongozi
anatakiwa apige interview ili apate experiences ya interview ata nafasi zikitokea za utumishi awe na uwezo wa kupambana na kutoboa aache kumlemaza apambane mungu atamuonaKwani yeye hataki kufanya interview? Afanye tu huenda akapata