Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
- Thread starter
- #21
Swala la interview ni lazima kwenye nafasi za ajira nilichokisema ni kuwa lazima kama ni shule iwe katika mikoa ya karibu Dar, pwani, morogoro au Tanga kwa ajili ya wepesi wa gharama za kwenda kwenye interview pia na wepesi wa matumizi mbalimbali kama ni kujitoleaanatakiwa apige interview ili apate experiences ya interview ata nafasi zikitokea za utumishi awe na uwezo wa kupambana na kutoboa aache kumlemaza apambane mungu atamuona
Interview ni kubahatisha sasa mtu anaitwa mara, kagera huko akafanye interview ya taasisi x ambayo hana uhakika nayo au akajitolee huko hiyo kidogo ni changamoto