masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kote umeandika vizuri ila unapomhusisha Mungu na uchaguzi wa raisi sio sahihi uchaguzi ni wa watu wa Kenya sio wa Mungu. Swala la kuchagua Mungu ameacha mwanadamu mwenyewe achague. Acha kuvuka mipakaRuto ndie rais ajaye wa Kenya. Ruto ni intelligent, makini, charismatic na ambitious. Ruto atawainiua wakenya wengi kiuchumi. Ni mcha Mungu mpole Hana visasi na mtaratibu. He is simply presidential material.
Ruto atashinda asubuhi na mapema believe me. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe rais.
Namuomvea Ruto ashinde
Ruti has blood on his hands.Ruto ndie rais ajaye wa Kenya. Ruto ni intelligent, makini, charismatic na ambitious. Ruto atawainiua wakenya wengi kiuchumi. Ni mcha Mungu mpole Hana visasi na mtaratibu. He is simply presidential material.
Ruto atashinda asubuhi na mapema believe me. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe rais.
Namuomvea Ruto ashinde
Let them kill and burn themselves.Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.
Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba wakenya, kama sisi Tanzania tulivyo ondoa matatizo ya ukabila.
Ruto ana kaharufu kasiko faa.
Tuhuma za corruption, wizi , uuaji , hazimbebi kuongoza Taifa la Kenya.
That is a selfish comment, not well meant and actually uncouth!Let them kill and burn themselves.
I don't wish well for these bastard.
Nothing will happen to "Baba", ameshasema makende yake yako ok!πππOdinga atashinda ila naona dalili ya Kenya kuongozwa na mwanamke kama TZ
Kila la kheri Laila OdingaNi wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.
Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba wakenya, kama sisi Tanzania tulivyo ondoa matatizo ya ukabila.
Ruto ana kaharufu kasiko faa.
Tuhuma za corruption, wizi , uuaji , hazimbebi kuongoza Taifa la Kenya.
Huu mstari ndiyo umeharibu uhalali wa hoja yako. Ni lini wewe umeongea na Mungu?Mungu hawezi kumruhusu Raila awe rais.
Mbona Kila siku kwenye maombiHuu mstari ndiyo umeharibu uhalali wa hoja yako. Ni lini wewe umeongea na Mungu?