Una homoni za kiumeHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!

Tatizo linakuja mimi sio mtu wa kuwa na mahusiano mengi mengi…!!Kama hutaki kuwa nae achana na chakula cha mafuta. Kama unataka kuwa nae ongeza chakula cha mafuta. Mana kinachokupeleka kwake ni genye tu.
Bro ushauri tunatoa ijumaa tu kwani hujui ratiba 😁Bro niko serious leo nishauri. Hii kitu inanitesa sana..!!
ndiyo maana kijana alikuja kulia huku kila wakimaliza kuzagamuana anaambiwa anamchafua...Itakuwa hakufikishi KILIMANJARO
Wewe endelea kuringa, sasa hivi una machaguo ila ukifika 37 utajua hujui.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.