Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,784
- 22,106
Hapana! Ngono ifutwe mtubakishie mapenzi.Mapenzi yafutwe
Mnachanganya ngono na MAPENZI.
Hapana! Ngono ifutwe mtubakishie mapenzi.Mapenzi yafutwe
Nadhani he is too nice hakupi challenge unamhandle!Usicheke bana toa ushauri kwanza..!!
Jibu ni moja tu. Humpendi hata kidogo. Na usilogwe ukafunga naye ndoa maana nyumba itakuwa haikaliki. Mimi ni mwanaume na najua wanaume wengi tupo hivyo. Ukiwa na hamu unahaha hata mwenye sura ya kiboko utamwita beauty. Lakini ukishafanya jambo lako hutaki hata kufuatana naye.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Ngono, mapenzi, tendo la ndoa vifutwe.....wanaopendana wanyongweHapana! Ngono ifutwe mtubakishie mapenzi.
Mnachanganya ngono na MAPENZI.
kumbe ndio maana,basi kijana akaze kamba ikishindikana customer care tupo kutoa msaada,haiwezekani tuone jahazi linazama hivi hivindiyo maana kijana alikuja kulia huku kila wakimaliza kuzagamuana anaambiwa anamchafua...
usimpotezee muda kama unaona hakidhi standards zako muache akatafute upendo kwingine...Hata yeye analalamika anatumika lakini sasa nitafanyaje?
Bro huyo shemegi ishu ni moja tu.....😹😹😹 hamna bana.!!
Nilijua mapema watu km nyie mtaanza ana ana do 😹😹
Ndoa hatuna udugu 😹😹😹Ila udugu umenistua mnoo.
Kwahiyo ndoa hatuna? Em fanya mambo yawe mepesi.
Au tuma picha yake hapa tuweze kujua shida ni gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana helaBro huyo shemegi ishu ni moja tu.....
Hana sifa unazozitaka ila ana moja tu anajua kutoamba ndio hicho kinakukeep. Ijumaa ntakushauri
View attachment 3273087