Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Uzuri anakula mzigo
YanguHayo ndiyo maagizo ya Muumba?
Tatizo lako najua tiba yake..Sito elezea hapa ukitaka MSAADA tafuta namna nikufikie..it's a serious note.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Mimi sio wa mtu wa kuwa na mahusiano na watu hovyo hovyo, nikipanga kukubali mtongozo mwingine nikifikiria hali niliyonayo naahirisha..!!Lamomy ulishamwambia huyo kaka humtaki..... lakini huwa una hamu nae?
How?
Najiuliza kama simtaki mtu nakuwa na hamu nae kiaje? Na nikiwa na hamu nae wakati nilishamwambia simtaki namtafutaje?
Hayanaga maana...Mapenzi yafutwe
Hahahaaa Sina mbavu Evelyn Salt siku hizi umekuwa broBro niko serious leo nishauri. Hii kitu inanitesa sana..!!
Babu kwa ninavyomfanyia na kumwambia naona km na yeye kagoma kuniachia..!!Nilichojifunza ni kwamba upo kwenye mahusiano na Mwanaume ambaye humpendi wakati yeye amekufa ameoza kwako.
Nafikiri utafanya vizuri kumwambia ukweli huyo mpenzi wako kwamba hauna hisia naye, hivyo aangalie utaratibu mwingine.
Kulazimisha mapenzi Kwa mtu ambaye hujampenda/hakupendi ndiyo inapelekea wakati mwingine watu kuuana.
Ni vizuri kuanza upya, kuliko kumpotezea mwenzio muda wake.
Time heals everythingHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Sawa nitaangalia, Asante kwa ushauri..!!Hayo ni maagano yamewekwa juu yako usiolewe kama mwanaume anahitaji kukuoa omba sana hiyo hali ikutoke na ujue hilo ndilo fungu lako.
Simama katika imani usije ukaishia kuzaa na wanaume wa makabila yote tz afu unawakataa
Nakazia Mkuu.Tunaomba ushahid wa chat tuone kweli humjibu kweli yeye ndio anakutafuta
Jf ndio tunaishi hivyo full chatWewe mjinga kweli, sasa usipoamini hizo ni shida zako, Sina utoto huo wa kuweka chats zangu hapa..!!
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.