Lamomy ona wanavyo kutafutia ban 😂View attachment 3273094
Upo Sawa lakini?
Huyo ni mkinga mzee mtu wa njombe1. Hana pesa
2. Sura yake ni ya mwenyekiti msaidizi wa chama...
3. Wewe ni mmarangu
Wewe sasa ndio umeelewa ninachopitia 😍😍Tatizo lako najua tiba yake..Sito elezea hapa ukitaka MSAADA tafuta namna nikufikie..it's a serious note.
In short tupo nae kwenye industry moja wakati na graduate my second degree nilisoma kwenye very tough environment so nikiwa nimepost picha za graduation late night ndipo nilianza kuchati ilikua just wapo..
Watu wengi hawakuamini Kama niliweza kusoma masters na kugraduate kwenye Yale mazingira na wazifa nilio kua nao...siku fanya plagiarism yeyote.
Yule dada alikua Kama wewe...yeye alikua na biashara zake..yupo independent..hatuombani pesa..tunasaidiana pia bills tunalipa kwa kushirikiana..alikua tukimaliza show anavaa anawasha gari kwa hasira kila mtu anasepa kwake..
Majibu ya swala lako ninalo
Kutokana na uzoefu niliopata kwenye mahusiano na mapenzi, sihitaji kuambiwa na mtu eti hanihitaji kisha nikakaza fuvuBabu kwa ninavyomfanyia na kumwambia naona km na yeye kagoma kuniachia..!!
😹😹😹 Leo kazi ninayoMh! we itakuwa historia yako ya mapenzi hapo nyuma inaonekana uliumizwa sana!, hivyo sasahivi umebaki upwiru tu, hisia wana wameshazivuruga!.
jipe muda utapenda tena ila hilo jamaa lasasa kama linaakili likaembali maana unaliona kama embe ng'ong'o tu!
Weka video kwa faida ya members...😹😹😹 Shem kweli?
Natamani kuongea kitu kwa hii comment yako ila basi..!!1. Kabla yake inawezekana kuna mtu mliahidiana kuoana ukawa umemkataa, hvo kakuvuta miguu huyo w sasa huwezi muona wa maana.. kama si wewe basi ni yeye kafanyiwa hvo, inawezekana hata kazin ni wa kukataliwa.
2. au inawezekana una wachumba zaidi ya mmoja na kwa hali hyo hujawekeza upendo kwa yeyote.
3. mizimu ya kwenu haijamkubali au upande wao, fkria wakati mnadinyana unaweza kuta unawaza kwingne na mawazo yanaenda kwa mtu mwingne yamkini usiye mjua.
4. nyie hamfanyi mapenzi huwa mnafanya ngono{hamshrikishani mambo yenu na kila mmoja hamuamini mwenzake, bila viungo vyenu ndo vinaaminiana.}
FANYA YAFUATAYO.
1.kama unampenda na si kumpotezea muda, andaa out moja kwa ajili ya mazungumzo ya kuwekana sawa na kuondoa tofauti zenu.
2. omba kwa imani yako.
3. punguza michepuko kama unayo.
4. kama unapenda muoane, washrikishe wazazi hususan mamako, na muweke waz kwa hyo hali inawezekana ni mambo ya ukoo.
5. punguza kujikweza na punguza hasira.
6. epuka mawasiliano ya kwenye simu kwenye ishu ngumu, nenda live.
Eti embe ng'ong'o...Mh! we itakuwa historia yako ya mapenzi hapo nyuma inaonekana uliumizwa sana!, hivyo sasahivi umebaki upwiru tu, hisia wana wameshazivuruga!.
jipe muda utapenda tena ila hilo jamaa lasasa kama linaakili likaembali maana unaliona kama embe ng'ong'o tu!
Huu ni utoto, usiniletee masihara hapa..!!View attachment 3273094
Upo Sawa lakini?
Toka dunia iumbwe wanawake "haijulikanagi" mnataka nini.Kuhusu huyu nampenda ila ndio hivyo tendo likiisha na chuki inaibuka sitaki hata kumuona..!!