Hakika MkuuUme maliza ya nini kuwa gonjwa sugu, ikiwa waweza kuwa tiba kwa mwingine!
Nahitaji sehemu privateNakusikiliza
Fanya hivyo Mjukuu, pia mtumie ujumbe hata Kwa njia ya simuNgoja nijitahidi kukaa naye mbali. 😥
Kipenzi nyegezi kitu kingine ndio maana nimekwambia huyo shem kuna mambo mawili kati ya hayo moja kakosa na ni jambo baya kuingia kwenye mahusiano kwa kutompenda huyo Mwanaume au umpende ila ndo hivyo hajui kukufurahisha kunako sita kwa sita.Sasa kwanini nikiwa na hamu nampenda?
Naonaa udugu chibaba wako anakumudu ktk mzagamuo, ndo maana huwezi ku move on.Ndoa hatuna udugu 😹😹😹
Hapo kwenye picha HAPANA ni mtu anayejiheshimu na humu najua yupo..!
Zaidi ya hapa kwenye huu uzi sina sehemu private mkuuNahitaji sehemu private
Mimi sio mkuu, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxHakika Mkuu
Mimi sio wa mtu wa kuwa na mahusiano na watu hovyo hovyo, nikipanga kukubali mtongozo mwingine nikifikiria hali niliyonayo naahirisha..!!
Au naweza nikamuelewa mwanaume vizuri ila akipanga tukutane najiandaa vizuri halafu baadae najiuliza maswali magumu magumu basi nafikia hitimisho nazima simu nalala..!!
Kuhusu huyu nampenda ila ndio hivyo tendo likiisha na chuki inaibuka sitaki hata kumuona..!!
Comment nilio kuwa naitafuta nimeipata nalala sasa 😂Una jini mahaba, acha kujichua au kupenda kuangalia porno.
Shida ipo kwenye ulimwengu wa roho siyo limwengu wa mwili.
Amini kama una hizo tabia za kujichua, kuangalia porno acha mara 1.
Kila la kheri
dear nije inbox tuongee kituZaidi ya hapa kwenye huu uzi sina sehemu private mkuu
Sawa na mimi baada ya kuongea na wenye akili timamu nikaona nije kwenye uzi wakoSawa mkuu tukutane kwenye uzi mwingine leo wala siwezi kukujibu naongea na watu timamu..!!
Sio kivilee 😹😹😹Naonaa udugu chibaba wako anakumudu ktk mzagamuo, ndo maana huwezi ku move on.
Baki na yeye ambadela, ambadela
Baki na yeye 😂😂😂😂😂