Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Nyie watu leo mkoje khaaa!! 😹😹😹
Hapo kwenye utambi wa koroboi wohi 🤣
Naona huku mtaani wanawake wakiona upo na mkeo ndani mnazalisha kawaida, mna furaha huku maisha yanaenda wanajileta wenyewe ukichunguza unakuta ni upwiru kumbe wanaume mtaani hawafanyi kazi yao vizuri... Shika sana ulichonacho
 
Kipenzi nyegezi kitu kingine ndio maana nimekwambia huyo shem kuna mambo mawili kati ya hayo moja kakosa na ni jambo baya kuingia kwenye mahusiano kwa kutompenda huyo Mwanaume au umpende ila ndo hivyo hajui kukufurahisha kunako sita kwa sita.
Lil Wayne anakwambia " when i come i come to my sense"

Hii kitu hata mimi ninayo.
 
Sijui utakuwa na shida gani lakini kama una uhakika unampenda usiwe unamwambia kauli za kwamba humtaki

Yeye pia ni binadamu, siku akichoka akaamua kukuacha ama akaamua kuishi kama unavyotaka(Intimacy with no string attached) nakuhakikishia utaumia na kuteseka
Asante kwa ushauri nitafanyia kazi mahi barikiwa 😍
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Hiyo ni foolish age, utaivuka tu usijali.
 
Sio kivilee [emoji81][emoji81][emoji81]

Halafu huwa ananiuliza km nimeenjoy kiukweli nakosa majibu ya kumpa…!!
Kuna ukatuni mmoja nilimfanyia akanishangaa sana..!! [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nielekezee huo ukatuni ulomfanyia chibaba, hivi udugu leo imekuaje ukashare kitu kinacho kutatiza.

Umenistua ujue?
 
Nitauchukua pia ushauri wako, asante.
Nakupa mfano wa binti 1 ana fanya kazi taasisi Moja karibu na sisi, huwa ana Jitahidi kuni zoea na kuni changamkia Ile ya .....

But Mimi naona ka kero kutokana na kufahamu tabia yake fulani, so nika ona the best option ni kupunguza mazoea ili kumpa nafasi ya ku move on.
 
Back
Top Bottom