Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Hilo ni pepo tulikemee nimemiss kupiga kigelegele hebu lainisha nafsi hiyoAmina na ni mwanaume ambaye mwanamke yoyote kuchomoa ni kazi..!! 🙈
Hilo ni pepo tulikemee nimemiss kupiga kigelegele hebu lainisha nafsi hiyoAmina na ni mwanaume ambaye mwanamke yoyote kuchomoa ni kazi..!! 🙈
Mimi sio raisi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max 😂Haha........sawa Mhe. Rais 🤗
😀😀😀😀😀 usikute jamaa nae akishamwaga hana hamu nae sema anazuga tu ili apewe mzigo siku nyingine.Hiyo hali inatukuta sisi wanaume baada ya kumwaga wazungu akili inarudi tunamuona mwanamke trash tu
Kuna wanawake wengi sana waliwakataa wanaume kwa kigezo hawana hisia naoNimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! 😹😹😹
Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm 🤣
Sema hii case yako ni unique.Sawa 😹😹
Sema hisia pia ni muhimu,Kuna wanawake wengi sana waliwakataa wanaume kwa kigezo hawana hisia nao
Wakaenda kwa wenye hisia nao wamezalishwa wameachwa leo tuna single mother wengi sana
Mapenzi ni zaidi ya hisia, mapenzi ni akili
Huwezi elewa sababu bado ni mdogo
Biblia ilivyosema wanawake wadogo wafundishwe kuwapenda waname haikukosea
😂Kwanini unasema ana hormone za kiumeUna homoni za kiume
Kwenye maisha usifanye jambo kwa sababu ya hisia bali tumia akili
Yaani ukitaka ufurahi katika Ulimwengu huu wa Mapenzi huyo Shem wangu usimuache.Amina na ni mwanaume ambaye mwanamke yoyote kuchomoa ni kazi..!! 🙈
Hayo ni maagano yamewekwa juu yako usiolewe kama mwanaume anahitaji kukuoa omba sana hiyo hali ikutoke na ujue hilo ndilo fungu lako.
Simama katika imani usije ukaishia kuzaa na wanaume wa makabila yote tz afu unawakataa
lil Uzi ana sema " I like that girl too much, wish I never met her".Hata mimi najitahidi kutojibu sms zake na calls zake ila ikitokea tumekutana nasema leo mwisho sirudii tena. Muda huo nakua na hamu nae..!!
Hongera kwa kuhitimu kozi ya UKAHABAHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Kabisa, hapa leo tumekutana church fasta nikatoka kabla ya misa kuisha..!! 😹😹Ila kwa wasio pitia hali hii watakuona wa ajabu yaani inafika kipindi mpaka unajitusi mwenyewe 😁
Kuna demu mmoja hivi mtaani nilipokulia ni agemate wangu. Alipewa mimba akiwa form 3 tu akajifungua mtoto wa kike. Sasa hivi ashakua shangazi wakati mimi bado yanki kabisa naweza kutoka hata na binti yake na usijue kama namzidi zaidi ya miaka 15Daaah aisee leo nimemwona mwanamke nilimwona mwakajana alikuwa kijana kuliko mimi ila leo kazeeka kuliko mimi na ana mashozniga usoni, I was amused
Hehehewanaopendana wanyongwe
Ushamaliza kakaSema kitu usiishie kucheka tuu.