Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

That boy you are sexually exploiting is likely a good guy and a simp...and good guys and simps are always losers. Likely unapenda hekaheka na kwa hivyo unahitaji a bad boy ili ego na hisia zako zichachushwe.

Lakini pia Sweet16 amesema kitu cha muhimu sana hapo juu. Kiroho kuna mabinti wamewekewa roho za kutoolewa. Familia nzima hakuna anayeolewa; na hata wakiolewa ndoa haimalizi hata mwaka. Ukifika kwao utafikiri kuna kongamano la wasimbe!

Hawa ukifuatilia siyo kwamba hawapati wanaume wanaowapenda kikweli na wanaotaka kuwaoa tena wanaume walionyooka sawasawa. Wanawapata sana tu lakini ndiyo hivyo. Oooh sina hisia naye kivile. He is boring. Ni king'ang'anizi mno...ali mradi tu apate visababu vya kumuacha. Na wakati huo huo anaigawa huko inaendelea kuchakazwa na ma bad boys - miaka inazidi kwenda naye anazidi kuzeeka. Kiburi cha ujana. Kiburi cha vihela alivyonavyo. Kiburi cha elimu. Kiburi cha uzuri. U feminist uchwara. Visheria na vikanuni visivyo na kichwa wala miguu. Oooh najitambua. I know my worthy. Narcissism. Siyo lazima kuolewa... kumbe ni pin za wananzengo, mashangazi na vijicho vya watu ili usiolewe.

Kwa hivyo hili linaweza kuwa ni suala la kiroho zaidi; na ikiwezekana litazame pia katika muktadha huo. Vunja hayo maagano uliyowekewa ili ufunguliwe!
 
lil Uzi ana sema " I like that girl too much, wish I never met her".

sikiliza hii nyimbo Kisha ielewe na yeye mtumie, mwambie you will get over it
Kama ni mtu wa kuji ongeza ata jiongeza.
View attachment 3273138
Jamaa mwenyewe kichwa ngumu asije kuja kunizibua bure 😹😹

Huyo jamaa nishakwambia king’ang’a niliwahi kumtafuta mwanaume wa uongo ili aogope, thubutuu kilichotokea ngoja ninyamaze tu..!! 🤣
 
Jibu ni moja tu. Humpendi hata kidogo. Na usilogwe ukafunga naye ndoa maana nyumba itakuwa haikaliki. Mimi ni mwanaume na najua wanaume wengi tupo hivyo. Ukiwa na hamu unahaha hata mwenye sura ya kiboko utamwita beauty. Lakini ukishafanya jambo lako hutaki hata kufuatana naye.
Baada ya hapo mnatuona vibwengo... masikini moyo u ngekua wa kioo tuone vilivyo ndani yenu
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Suala hilo ni la kisaikolojia zaidi na hauwezi kujilaumu wala kulibadili.

Ingelikuwa inakutokea kila ukutanapo na mwanaume tungelijadili vinginevyo, lakini kwa issue hiyo moyo hautaki, usiulazimishe.

Binadamu tumetofautiana sana kwa kweli.

Mimi nikimpata mwanamke kwa njia ya kumjaribu huku nikiwa sina nia naye ya kweli na ya dhati, huwa nikifanya kosa la kumlala tu, mambo hunigeuka.

Nikishafanya hiko kitendo, upendo hunipanda kiwango ghafla na kuanza kumpenda kwa dhati kabisa kindaki ndaki.

Mkuu huyo shemeji piga chini mazima, tafuta unayeridhika naye kihisia, ukijilazimisha baadaye itakuletea shida mbele ya safari.
 
Madhara ya kum-treat mwanamke vizuri ni kama hivi, he's a nice guy and you need a thug to treat you nasty.

Kingine, huna libido..ni nyege za kupasha kwa mbali, zikikamuliwa huna habari na kulombwa, kuna mmoja enzi za ubinti wake alikuwa anasema hapitishi siku mbili na mikito ya ukweli..@Evelyn Salt.
😹😹😹 hilo nalo tatizo tukimaliza na biashara imeisha..!!
 
Bora wewe inakutokea kwa mtu mmoja...

Na hivyo inavyokutokea, ndivyo sisi wanaume inatutokea kwa kila mwanamke na kila mzunguko wa kwanza. Ila tunaamua kuwa kimya maisha yaende.

Inaonekana moyo haupo hapo. Okoa nafsi yake kwa kwenda mbali maana soon kuna mlio mkubwa atautoa kama hautafanya hivyo
 
Ilikuaje mpk mkawa na mahusiano? In the first place? Kingine acha kutudanganya kuwa humpendi, intimacy haiwezi kuja bila kumpenda mtu. Au unalako jambo. Wanawake wa kaliba hii hawakai kwenye ndoa
Ilitokea utani utani halafu ana ukatuni flani nikahamasika basi tukajikuta tupo kwenye husiano..!!
 
That boy you are sexually exploiting is likely a good guy and a simp...and good guys and simps are always losers. Likely unapenda hekaheka na kwa hivyo unahitaji a bad boy ili ego na hisia zako zichachushwe.

Lakini pia Sweet16 amesema kitu cha muhimu sana hapo juu. Kiroho kuna mabinti wamewekewa roho za kutoolewa. Familia nzima hakuna anayeolewa; na hata wakiolewa ndoa haimalizi hata mwaka. Ukifika kwao utafikiri kuna kongamano la wasimbe!

Hawa ukifuatilia siyo kwamba hawapati wanaume wanaowapenda kikweli na wanaotaka kuwaoa tena wanaume walionyooka sawasawa. Wanawapata sana tu lakini ndiyo hivyo. Oooh sina hisia naye kivile. He is boring. Ni king'ang'anizi mno...ali mradi tu apate visababu vya kumuacha. Na wakati huo huo anaigawa huko inaendelea kuchakazwa na ma bad boys - miaka inazidi kwenda naye anazidi kuzeeka. Kiburi cha ujana. Kiburi cha vihela alivyonavyo. Kiburi cha elimu. Kiburi cha uzuri. U feminist uchwara. Visheria na vikanuni visivyo na kichwa wala miguu. Oooh najitambua. I know my worthy. Narcissism. Siyo lazima kuolewa... kumbe ni pin za wananzengo, mashangazi na vijicho vya watu ili usiolewe.

Kwa hivyo hili linaweza kuwa ni suala la kiroho zaidi; na ikiwezekana litazame pia katika muktadha huo. Vunja hayo maagano uliyowekewa ili ufunguliwe!
Amina kaka nitafanyia kazi asante ubarikiwe..!!
 
Back
Top Bottom