Sawa mkuu nitampiga chini..!!Suala hilo ni la kisaikolojia zaidi na hauwezi kujilaumu wala kulibadili.
Ingelikuwa inakutokea kila ukutanapo na mwanaume tungelijadili vinginevyo, lakini kwa issue hiyo moyo hautaki, usiulazimishe.
Binadamu tumetofautiana sana kwa kweli.
Mimi nikimpata mwanamke kwa njia ya kumjaribu huku nikiwa sina nia ya kweli na ya dhati kwake, huwa nikifanya kosa nikamlala tu, mambo hunigeuka.
Nikishafanya hiko kitendo tu, ghafla hupanda, upendo huongezeka ghafla kwake na kuanza kumpenda kwa dhati kabisa kindaki ndaki.
Mkuu huyo shemeji piga chini mazima, tafuta unayeridhika naye kihisia, ukijilazimisha baadaye itakuletea shida mbele ya safari.
Alaaa 🤒Nkamu show show 😹😹
Mwambie tu yeye unamuelewa kwa ajili ya kukukaza tu sio zaidi ya hapo.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Wewe hapana ni yeye tu..!!Utani tena, so kumbe wewe ni wa kimasihara? Hata mm nikiamua nakupitia?
Nimpe maokoto tena?? 😹😹Mwambie tu yeye unamuelewa kwa ajili ya kukukaza tu sio zaidi ya hapo.
Aendelee na mishe zake,ila muhakikishie hutakzwa na mwingine zaidi yake. So ukiwa na hamu unamcheki kwa kazi maalum. Sema sasa umlishe ili aje akiwa fiti. Maana ake mtupie maokoto maana hiyo inakuwa kama kazi rasmi.
Why mm hapana na humtaki?Wewe hapana ni yeye tu..!!
Halafu haikuwa kimasihara, sheria za kimasihara ni siku hiyo hiyo kisha hamrudii tena..!! Uwe unahudhuria vikao vya kimasihara club 😹😹
Jaribu kunipa mm mbususu, uone kama utanichukia baada ya tendo LamomyTatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Nkamu jamaniHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Nimetoka kukuita ss hivi nikupe pole kwa kipigo kingine kutoka kwa Newcastle kumbe umefika hapa..!! 😹Nkamu jamani
Uje tufanye maombi hako karoho ka chuki kwa shemeji kakutoke.
Heaven Sent kuna maombi huku yanahitajika Mama.