Tutajie jina lake tuanze kulitamka katika maombi 😂😂😂Nimetoka kukuita ss hivi nikupe pole kwa kipigo kingine kutoka kwa Newcastle kumbe umefika hapa..!! 😹
Nkamu maombi yenu yanahitajika mno na mama mchungaji Heaven Sent 🥰
Hii ni maajabu😅Unacheka nini? 😹
Si hisia zimeisha, Hapo kila mtu na mishe zake mpk hisia zikupandeKwenye kuchukia je ni nini??
Tunataka jina halisiNickname au jina lake halisi? 😹😹
We sala zako za uchokozi, wewe omba kikubwa Mungu anamjua haina shida 🤣
Ila Nkamu una maneno😂😂😂😂🙌🏿Usharudi kutoka vilabuni chochote unachojisikia unachangia..!!
Certified KahaberSawa nitafanyia kazi..!!
Yeah! Even though father time spares no one, the biological clock ticks a little bit faster for women...and few of them seem to understand this.Make your decision wisely, time is very cruel to women.
Bwana na akafanye kwako aiseeSawa nitalituma usijali 😹😹😹