Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Pepo la ngono hilo
 
Ukishajua tatizo, litatue mkuu.
Usimpotezee muda kijana wa watu, fanya maamuzi kama unampenda. Km unapenda uwe sidechick mueke wazi asiweke mategemeo makubwa kwako
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Simple, humpendi. Kwa namna unavyomuelezea inaonekana ni mtu anayejielewa jambo ambalo wanawake wengi tunataka ila kwa vile hujampenda basi akishamaliza kazi yake, unarudi katika uhalisia wako.

Cha kufanya, kama inawezekana, muache aende ampate ampendaye ili tupunguze wafuasi wa kataa ndoa au kama unaweza kumtazama kwa jicho jingine kama more than just a fuckmate but potential husband, inaweza kuwa vizuri
 
Nina Iman ww ni mtu mzima/umri wako jamii inaruhusu kuwa na mpenzi wa wazi.

1. Je huyo Jamaa ako ushamtambulisha kwa watu wengne.. mashost zako, ndugu jamaa marafik?
Kama hapana jua HAUMPENDI.
na je yeye unafahamika na jamaa zake?

2. Kwenye Malengo yako ya muda mfup na marefu huyo jamaa huwa unaona ana nafas yake ? .
Kama hapana jua ni Nyege tu ndio zinakufanya umtafute/ umkubalie akikutafuta..
Na inakuwa kama vile mwanaume anavyosikia nyege na kutongoza hovyo ili afanye matusi. Na akishafanya anajutia

Mm naona Mnapotezeana Muda Na ni kitu Mbaya...
Ushaur wangu ni jaribu kukubali mtongozo kwa mtu ambaye unahisi unavutiwa nae . Uone hali kama hiyo itatokea tena.
 
Back
Top Bottom