---Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Sawa 😹Kama humpendi usiolewe nae. Itaepusha mengi.
Kama unapenda show zake endelea kumtafuta ukihitaji. Ila epuka kutumia pesa zake. Unaweza kwenda mbele zaidi ukamweleza kuwa we hutaki mambo ya ndoa nae. Unaona mpo vizuri tu mnavo kulana nje ya 18.
Hahaha 🤣😹😹😹 hamna bana.!!
Kumbe ni kawaida? 😀---
- Hii inaweza kuwa ni dalili ya hali inayoitwa post-coital dysphoria, ambayo ni kawaida hasa kwa wanawake ( Kuwa na amani ni swala la kawaida)
Siku hizi anavaa mashati makubwa kumbe sababu bidada anambania.Ukweli kutoka moyoni nilikuwa naenda kumuhusisha yule member 😂😂😂
Ajabu ID yake jina limenitoka dadeqqq!!
Huu uzi sijui umeuandika kumkomoa lakini umejikomo. Hukupaswa kuuandikaUzuri wala hamnipi shida najua safari za mamba kenge hamkosi 😹😹
sema kwel humpendi jamaa yetu.Tatizo linakuja mimi sio mtu wa kuwa na mahusiano mengi mengi…!!
Nikiwa na mtu basi ni huyo huyo.
Aliyeleta thread na anaye mshauri huyu ambaye ugumu umemzidia na mwenye stress. Halafu mwenye stress na ugumu wa maisha anaendelea kuonesha anaZo zaidi kumbe.Najua una ugumu wa maisha ila jitahidi kuzikabili, hii kujisemesha km kichaa haina afya. Zaidi unajionyesha ulivyo na stress zilizopitiliza..!!
Chizi Maarifa ndo huyo mhusikaUkweli kutoka moyoni nilikuwa naenda kumuhusisha yule member 😂😂😂
Ajabu ID yake jina limenitoka dadeqqq!!
Kweli una stress Evelyn Salt unamwita bro? 😁Bro niko serious leo nishauri. Hii kitu inanitesa sana..!!
Na zinanitosha mwenyewe. 🤣😹😹😹 Maka akili zako unazijua mwenyewe..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??