ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Dasvidaniya, privyet!!
Subiria uwe mshangaziHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Amekuchoka na kwa vile siyo dada yako, achana naye.yaani kaka imeniuma sana huyu mwanamke hakuna nisichompa yaani basi tu
Sina stress wala ugumu wa maisha, na uzi ha husiano na hivyo unavyotaka wewe..!!Aliyeleta thread na anaye mshauri huyu ambaye ugumu umemzidia na mwenye stress. Halafu mwenye stress na ugumu wa maisha anaendelea kuonesha anaZo zaidi kumbe.
Nilijua kwenye huu uzi na vichaa nao watajifanya timamu watoe maoni yao..!!Kweli una stress Evelyn Salt unamwita bro? 😁
Vyote vinanipendeza tatizo hapo hamu zikiisha simtaki mpk nikipata tena hamu..!!Ni kipi kikubwa kinachokupendeza au kukuchukiza kwa huyu mwanaume? hela, mapenzi, muonekano au nini? maana ukiondoa hicho inaonekana unakuwa humtaki tena.
Ahaa basi hii inaweza kwisha kama mtakaa pamoja mkazoeana. Naamini kwa sasa mko mbali mbali, mkiwa karibu zaidi inaweza kuisha. Ukitilia maanani huyu mwanaume unampenda ila ni hali ya kutaka kuwa mwenyewe tu inakusumbua.Vyote vinanipendeza tatizo hapo hamu zikiisha simtaki mpk nikipata tena hamu..!!
Mimi ndio nalipelekesha... Nimemkosa mwenzangu tu wa kunisaidia kulipelekesha.😹😹😹 Group O inakupelekesha
Kwahiyo wewe unamtaka mtu wa aina ganiHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Unazo stress na ndo maana unajifanya mwanamke na wakati ni mwanaumeSina stress wala ugumu wa maisha, na uzi ha husiano na hivyo unavyotaka wewe..!!
Hata hivyo sihitaji ushauri wako.
Njoo utoe posa uolewe. Unaona ilivyo ngumu kuiga uana mke? Watu watakuchimbua tu....🤣Ndiyo mrembo, vipi ushaposwa au bado tulete washenga kwenu?
Sasa tafuta mwanamke huyo ni shoga. Mwanaume anajifanya mwanamkeni mchumba wangu huyo lomomy yaani roho inaniuma sana hakuna nisichompa ila ananisaliti
katika uumbaji na kiasili pia iko hivyo kwa baadhi ya watu na makabila yao,Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.