Chizi Maarifa nlijua tu hamtafika mbali. Na ule ugomvi wenu. So yeye unataka awe ana kugegeda tu kisha basi? Sema na wewe mambo mengi sana.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
😹😹😹 Maka akili zako unazijua mwenyewe..!!Huyo chizi nini, magoma ya namna hiyo ndio twayapenda sisi, no string attached.. Mnabanjuka kisha kila mtu na lwake, sio kugandana utafikiri maiti na sanda. 🤣 🤣
Mkumbushe awe anahudhuria vikao vya KIUMENI.
Okay, nitajaribu hivyo mkuu. Asante pia kwa ushauri wako..!!Nina Iman ww ni mtu mzima/umri wako jamii inaruhusu kuwa na mpenzi wa wazi.
1. Je huyo Jamaa ako ushamtambulisha kwa watu wengne.. mashost zako, ndugu jamaa marafik?
Kama hapana jua HAUMPENDI.
na je yeye unafahamika na jamaa zake?
2. Kwenye Malengo yako ya muda mfup na marefu huyo jamaa huwa unaona ana nafas yake ? .
Kama hapana jua ni Nyege tu ndio zinakufanya umtafute/ umkubalie akikutafuta..
Na inakuwa kama vile mwanaume anavyosikia nyege na kutongoza hovyo ili afanye matusi. Na akishafanya anajutia
Mm naona Mnapotezeana Muda Na ni kitu Mbaya...
Ushaur wangu ni jaribu kukubali mtongozo kwa mtu ambaye unahisi unavutiwa nae . Uone hali kama hiyo itatokea tena.
Najua una ugumu wa maisha ila jitahidi kuzikabili, hii kujisemesha km kichaa haina afya. Zaidi unajionyesha ulivyo na stress zilizopitiliza..!!Chizi Maarifa nlijua tu hamtafika mbali. Na ule ugomvi wenu. So yeye unataka awe ana kugegeda tu kisha basi? Sema na wewe mambo mengi sana.
AmenJirani yamenifika kweli 😹😹
Nitafanyia kazi ushauri wako barikiwa..!!