That boy you are sexually exploiting is likely a good guy and a simp...and good guys and simps are always losers. Likely unapenda hekaheka na kwa hivyo unahitaji a bad boy ili ego na hisia zako zichachushwe.
Lakini pia
Sweet16 amesema kitu cha muhimu sana hapo juu. Kiroho kuna mabinti wamewekewa roho za kutoolewa. Familia nzima hakuna anayeolewa; na hata wakiolewa ndoa haimalizi hata mwaka. Ukifika kwao utafikiri kuna kongamano la wasimbe!
Hawa ukifuatilia siyo kwamba hawapati wanaume wanaowapenda kikweli na wanaotaka kuwaoa tena wanaume walionyooka sawasawa. Wanawapata sana tu lakini ndiyo hivyo. Oooh sina hisia naye kivile. He is boring. Ni king'ang'anizi mno...ali mradi tu apate visababu vya kumuacha. Na wakati huo huo anaigawa huko inaendelea kuchakazwa na ma bad boys - miaka inazidi kwenda naye anazidi kuzeeka. Kiburi cha ujana. Kiburi cha vihela alivyonavyo. Kiburi cha elimu. Kiburi cha uzuri. U feminist uchwara. Visheria na vikanuni visivyo na kichwa wala miguu. Oooh najitambua. I know my worthy. Narcissism. Siyo lazima kuolewa... kumbe ni pin za wananzengo, mashangazi na vijicho vya watu ili usiolewe.
Kwa hivyo hili linaweza kuwa ni suala la kiroho zaidi; na ikiwezekana litazame pia katika muktadha huo. Vunja hayo maagano uliyowekewa ili ufunguliwe!