sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,152
- 48,355
Wewe hamna majini mahaba watakula pesa zako bure.Okay, ntamcheck.
Sema Kyando ni mkinga mwenzangu na sijawahi kujua wakinga na hizo issue wanajua..!! Nasikia leo kwako..
Na mimi nipo hivyo, Sina mambo mengi ila sipendi kugandana..!!Those yrs back, kuna mpendwa mmoja alikuwa anapigo Kama hizi... Yaani akikuhitaji yeye atafanya lolote lile akupate, uje muunganishe vikojoleo kisha akuteme...
Hahaha yaani alikuwa hata simu yaani yeye ndio akuchek, homekwake alikuwa haruhusu uende paka yeye akuite
Sio kwamba alikuwa mambo mengi hapana, hakuwa na bwana mwingine but it was her life...
SASA the moment amekupa mgongo akisubiri anitafute, Mimi naendelea na mambo yangu. Full kujiachia...
Siku wasiku nikazama chaka jingine alistuka anaona picha za engagement mitandaoni...hahaha alilaumu saana
Yaan, sometimes inatokana na MTU kukuona sio level zake, au dharau.... Yaan possible lamomy huyo Mwamba bado hajafika level flan hivi Ambazo zipo kichwani kwako... Japo anasifa zote...
My advise keep on looking.... There is something better...
Usije ukazama, utajuta
Hiyo mbinu haiwezi kufanya kazi anajua nina nyumba..!!Hahaha haya nikupe mbinu ya kibaaria ya kiutuuzima sasa. Anza kumuomba hela kubwa kubwa like mpe business plan then muombe initial capital, mueleze aina ya mazingira ya nyumba unayotaka kupanga alafu muombe kodi ya mwaka mzima. Tuanzie hapo kwanza na akivuka hivyo viunzi kwa kukutumia the amount utakayotaja kwenye hayo mambo mawili bhasi wewe ndio utakuwa na shida😅
Ishu ni kwamba hujapata aliye click to your soul and mind... Time is still there...Na mimi nipo hivyo, Sina mambo mengi ila sipendi kugandana..!!
Sema umepiga hip hop kali sana, huyo mwanaume sijui km nampenda au simpendi..!! Lakini mbona hata wengine nao nikitaka kuwa nao nashindwa nabaki na yule yule?? Hapo ndio tatizo lilipo.
UooooongoShida nyingine hata sijawahi kujali yeye kunijali, km kifedha najimudu na gharama zangu zingine..!! Na kimapenzi si wote tunaenjoy 😹
Wacha tusubiri hilo chaguo langu..!! Au atakuwa chinno 😹Ishu ni kwamba hujapata aliye click to your soul and mind... Time is still there...
Anyway we never know, inaweza fika muda tukasema huyooo ni chaguo lakoooo .... Huyo ni chaguooo lakooo
Kazi iendelee tumechezewa vya kutosha zamu yao sasaHii comment sikuiona aiseee.!! 😹😹😹
We game limebadilika na sisi tumeanza kuwachezea 🤣
😅😅😅😅una vituko wewe,,Hizi comments zako zilijificha wapi mahi?? 😹😹
Kweli bro mwenzenu nimechanganyikiwa mpk sioni reply 🤣
Mbaya wewe baada ya kumtolea uvulana wake ndo unaona hakufaiMitano tena 😹
Ndo home boy kashatumika saana hapa analiwa rada tu amwagwe,, kumbe huwaga kuna raha ya kuchezea mtu kumbe,, yani nimejifanya ndo Lamomy vile nafsi imefurahi kama nitafute mtu wa kumchezeaLazma umpe mafao yake😁,,, mi ukiniletea huo mchezo nakuroga utaanza kuhangaika wewe sasa. Siwezi kutumiwa kama ndala za chooni mimi.
Umeolewa na jini mahaba trust me, yaan utakuwa unaolewa ndoa haidumu kwa kweliHebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Naona unampigia chapuo 😹😹Naam
Mwamba Hana Baya, kamanda wangu tangu tukiwa hall V pale, hajawahi kuniangusha....
Kapachino ni vile SASA hivi ametingwa na mwezi mtukufu....