Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Ndo home boy kashatumika saana hapa analiwa rada tu amwagwe,, kumbe huwaga kuna raha ya kuchezea mtu kumbe,, yani nimejifanya ndo Lamomy vile nafsi imefurahi kama nitafute mtu wa kumchezea
😹😹😹 Mchezee ila usifollow in love, yeye ndo ateseke kuna ka-burudani flani katamu sana…!!!
 
Nimetoka kukuita ss hivi nikupe pole kwa kipigo kingine kutoka kwa Newcastle kumbe umefika hapa..!! 😹

Nkamu maombi yenu yanahitajika mno na mama mchungaji Heaven Sent 🥰
Kubwa la maadui; umekuwa playgirl? (Kidding). Halafu sasa na wewe na kichwa chako; eti siamini kama upo serious

-Hiyo hali imeanza lini au tangu mmeanza hayo mahusiano ilikuwa hivyo hivyo? Umekuwa hivyo kwenye mahusiano yote before au ni haya tu?

-Nini haswa kilikuvutia kwake; looks, brain or what?

-Mahusiano yako ya mwisho yaliishaje? .

You simply don't love the guy; you are only using him. If you can; please just let him go. Cut off everything.... Huwezi ukawa unampenda mtu ambaye not even once unawaza kuhusu future yenu pamoja; mtu ambaye hata siku moja hutamani kuwa na meaningful conversation naye. Imagine kukata hata siku moja tu hujawasiliana na baby....
Only sex matters to you...... You don't want any commitment..That's the biggest red flag. No love at all
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Mshanga,i nawe umwkuwa fvckgal baadala ya fvck boy 🤣🤣🤣
Sii bure utakuwa na chembe chembe za mzabzab. Hatujashare baba kweli wewe maana mzee wangu alikuwa kitombi
 
Kubwa la maadui; umekuwa playgirl? (Kidding). Halafu sasa na wewe na kichwa chako; eti siamini kama upo serious

-Hiyo hali imeanza lini au tangu mmeanza hayo mahusiano ilikuwa hivyo hivyo? Umekuwa hivyo kwenye mahusiano yote before au ni haya tu?

-Nini haswa kilikuvutia kwake; looks, brain or what?

-Mahusiano yako ya mwisho yaliishaje? .

You simply don't love the guy; you are only using him. If you can; please just let him go. Cut off everything.... Huwezi ukawa unampenda mtu ambaye not even once unawaza kuhusu future yenu pamoja; mtu ambaye hata siku moja hutamani kuwa na meaningful conversation naye. Imagine kukata hata siku moja tu hujawasiliana na baby....
Only sex matters to you...... You don't want any commitment..That's the biggest red flag. No love at all
Niko serious mama mchungaji, 😹

Nikianza kumuelezea kiundani naona haijakaa poa ( watu wataanza kujifanya mtabiri tambitambi) 🤣

Kumuacha hataki kagoma, labda mnipe mbinu ya kumuacha kistaarabu bila kumuumiza..!!
 
Teh nimejikuta nacheka; kumbe unatujua watabiri.
Just be unavailable to him. Wewe si ndiyo huwa unampigia ukiwa na ma feeling yako? Usimpigie tena, and make sure unaweka vizuizi vyote vya kuonana na yeye... Ondoa huruma kabisa ili umsaidie na yeye asiendelee kupoteza muda wake kwako.
 
Asante, nimekuelewa nitafanya hivyo..!! Barikiwa mama mchungaji 😍
 
😹😹 hiko kikao kiwe na ngunyani na mbalaga bila kusahau utamaduni ( takapera)
Utamaduni muhimu. Jioni tutakwenda matembezi tukapate hii mix
IMG_20250317_214259.jpg
 
Tupime DNA 😹😹
Itakua tuna kaundugu lakini hatujuani??
Kabisa weye na mie ndugu.
Alafu acha ungese watu twataka kuja kucheza harusi ebu olewa huko.
U marry first then love grows...tunaenda na indian philosophy kwenye mambo ya ndoa.

Ila kabla ya yote njoo uonje kibamia tuone maana inaweza kuwa una alaergy na mihogo
 
Back
Top Bottom