Kweli linatolewa ila inabidi upate mtumishi wa Mungu anayejua kuyatoa..Linatolewaje hilo kipenzi?
Em toka hapa, haijamuelewa kvp akati ikiwa na ugwadu inamtaka na kuulilia mkunyenge wake.[emoji81][emoji81][emoji81] Imechachamaa haimtaki haijamuelewa kabisa.!!
Hujakosea mi muhuni kweli😁 tena mkufunziWe nawe muhuni muhuni sana mpk unapita mule mule, anasemaga kweli nampa mzigo kwa masharti mpk nijisikie 😹😹😹
Please take your time nenda kamsikilize huyu Pastor Sunnibela Kyando yupo YouTube ameelezea hayo majini mahaba..sign zake ,visababishi,na namna ya ku get rid of it.Okay...Kimbia mbio haraka tunataka mwaka huu tucheze kharus my😹😹😹 Imechachamaa haimtaki haijamuelewa kabisa.!!
Tatizo na yeye anahisi nitabadilika, nikimwambia tuachane hataki..!!Kumbe Evelyn Salt ni bro?!😂
Nionavyo mimi kwako Lamomy, huyo mshkaji hujampenda wala hujavutiwa nae bali huna mbadala kwasasa ndiomana unamtumia kama kipoozeo. Akitokea jamaa mwengine ukamuelewa naona utamtukana huyo kipoozeo wako kwanini ni king'ang'anizi. Usiupoteze muda wake bure kama unaona kihisia hautabadirika juu yake.
Nawee atakutumia kwa kukuchuna pesa. Hakuna vya buree mjini.Jamaa ana bahati. Na mimi natamani nipate mwanamke wa kunitumia kumtuliza genye zake tu. No strings attached.
Kuna raha yake kwa mwanaume kutumiwa kingono na mwanamke 😀
Mhmm.!! Kufa tena?Kweli linatolewa ila inabidi upate mtumishi wa Mungu anayejua kuyatoa..
Hasara za jini mahaba likikumiliki
Utachukia wanaume
Akilazimisha kukuoa lazima afe..au apigwe kiuchumi ..aandamwe na mikosi..yaani kiufupi hayo madude yana wivu balaa.
Those yrs back, kuna mpendwa mmoja alikuwa anapigo Kama hizi... Yaani akikuhitaji yeye atafanya lolote lile akupate, uje muunganishe vikojoleo kisha akuteme...We nawe muhuni muhuni sana mpk unapita mule mule, anasemaga kweli nampa mzigo kwa masharti mpk nijisikie 😹😹😹
😹😹😹 Halafu mizimu mimbea hiyo, ikimuona tu inajifanya iko romantic 🤣Em toka hapa, haijamuelewa kvp akati ikiwa na ugwadu inamtaka na kuulilia mkunyenge wake.
Udugu taratibu mambo yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha haya nikupe mbinu ya kibaaria ya kiutuuzima sasa. Anza kumuomba hela kubwa kubwa like mpe business plan then muombe initial capital, mueleze aina ya mazingira ya nyumba unayotaka kupanga alafu muombe kodi ya mwaka mzima. Tuanzie hapo kwanza na akivuka hivyo viunzi kwa kukutumia the amount utakayotaja kwenye hayo mambo mawili bhasi wewe ndio utakuwa na shida😅Tatizo na yeye anahisi nitabadilika, nikimwambia tuachane hataki..!!
Nipe mbinu isiyoumiza nimpige chini, nyie wanaume si mnajuana mkuu 😹
Kikubwa awe na kipochi manyoya tu na si papa pori😂😂😂😂.Nawee atakutumia kwa kukuchuna pesa. Hakuna vya buree mjini.
Hatari sana yako very aggressive..Mhmm.!! Kufa tena?
Basi ni hatari 😥
Okay, ntamcheck.Please take your time nenda kamsikilize huyu Pastor Sunnibela Kyando yupo YouTube ameelezea hayo majini mahaba..sign zake ,visababishi,na namna ya ku get rid of it.Okay...Kimbia mbio haraka tunataka mwaka huu tucheze kharus my