Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Nilijipanga kusoma gazeti lako hapa, huenda na mie nikapata somo.

Yaan umenichosha ujue, kuna comment ako 1 ninayo nli secreenshot, na niliitumia ktk himaya yangu,matokeo yake, nisiseme sana

Barikiwa mama maleziii, iko siku ntashusha shukrani zangu za dhati kwako.

Nimeamini kila kitu kinawezekana chini ya jua, [emoji120][emoji120]
Weuweeee
Grateful that nilitumika kama msaada/elimu. Uje tu unipe hiyo testimony aisee
 
Back
Top Bottom