Doldo ndio nini mkuu? 🤷♀️
Shida si kukojoa mama,jipimie tuu kuliko kumsumbua jamaa wa watu unapomtaka,akikutaka yeye hutakiEeh 😳😹
Kivumbi leo…!!
Natumaini utaufanyia kazi,kuhusu kuandaliwa before unaweza ukajiandaa tu sababu sehem anazokushika unajua.Okay, asante kwa ushauri..!!
Kuchonga mboo Bandia Au,kwani saiz yake si unaijua.Itabidi niende VETA kwanza 😹😹
Nacheki kama mazuri vile,ila uzee raha sanaMkuu Asante kwa kushiriki, tuishie hapa..!!
Wachoyo tu 😅Usije tumefunga kwaresima kwetu jirani..! 😹
Asante sana kwa ushauri na maelezo, swali langu lipo hapo kwenye kumilikiwa na mtu kiroho.Lamomy tatizo lako linaweza kuwa katika hali mbili, kiakili au kiroho.
Kiakili
Historia ya mahusiano yako ya zamani yaweza kuwa sababu na njia nzuri ya kuanzisha mahusiano mapya ni kuachana na kumbukumbu za mahusiano ya zamani bila kujali ulipitia hali gani katika mahusiano hayo.
Unapopata nafasi ya kupenda au kupendwa basi itumie kama vile hukuwahi pitia maumivu katika mahusiano. “Hatuumizwi ili tuumize wengine.”
Watu huchukulia changamoto katika mambo mengine kama sehemu ya kujifunza hasa katika hali chanya lakini haohao linapokuja suala la mahusiano changamoto wanazokutana nazo huhisi kama wameonewa na mara nyingi huchukua mafunzo hasi.
Na mara nyingine kuvipa umuhimu visivyo na umuhimu, kwenye uhusiano wowote muonekano wa ndani wa mtu ni muhimu zaidi kuliko muonekano wa nje.
Kiroho
Kama unaimani ya mungu ama dini yoyote ile huwezi tumia ile kauli katika moja ya post zako kuwa huwezi jutia sababu mahusiano siyo sehemu pekee ya kupatia furaha.
Ni kweli siyo sehemu pekee ila ndiyo sehemu yenye nafasi kubwa ambayo mungu amemuwekea mwanadamu ili apate utulivu baada ya hekaheka zote za mihangaiko hasa pale unapopata mtu anaekupenda na kukujali.
Pia huenda ukawa unamilikiwa na mtu mwingine katika ulimwengu wa kiroho(possessed) japo wengi huwa hawaamini hili ila kiuhalisia lipo na huwa ni tatizo kubwa katika mahusiano yoyote yale.
Kama unakutana na moja wapo ya hali hizi basi jitahidi kufata taratibu za imani yako ili kupata msaada.
• Kuota unafanya mapenzi
• Kushituka usiku hasa majira ya saa 8.
• Kutohitaji uwepo wa mtu(kutamani kuwa peke yako) n.k
Kama kuna mahali hapajaeleweka unaweza uliza.
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!Aaaiiii nimecheka sana, Hii ndio tunaita women in Men’s field?
Mate punguza kutafuta hela, tatizo linaanzia hapa 😅
Badae atakuja kuwa na pesa huyo.Home boy ana degree tatu na kozi mbili za veta akilala chaga zinasimama, akisimama chaga zinalala.....mfukoni hakuna maokoto hadi bro Lamomy anachanganyikiwa
Case closed.Kubwa la maadui; umekuwa playgirl? (Kidding). Halafu sasa na wewe na kichwa chako; eti siamini kama upo serious
-Hiyo hali imeanza lini au tangu mmeanza hayo mahusiano ilikuwa hivyo hivyo? Umekuwa hivyo kwenye mahusiano yote before au ni haya tu?
-Nini haswa kilikuvutia kwake; looks, brain or what?
-Mahusiano yako ya mwisho yaliishaje? .
You simply don't love the guy; you are only using him. If you can; please just let him go. Cut off everything.... Huwezi ukawa unampenda mtu ambaye not even once unawaza kuhusu future yenu pamoja; mtu ambaye hata siku moja hutamani kuwa na meaningful conversation naye. Imagine kukata hata siku moja tu hujawasiliana na baby....
Only sex matters to you...... You don't want any commitment..That's the biggest red flag. No love at all
Hahahahah Raha yako kumchezea mwanaume.😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!
Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣