Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Hahahahah Raha yako kumchezea mwanaume.

Hivi Karma IPO? Kweli... If it's there time yako itafika
😹😹😹 Karma hakuna ni maneno tu ya lia lia 🤣
 
Sina elimu sana kuhusu hilo ndiyomaana nikakuwekea baadhi ya dalili za uwepo wao kwenye maisha ya mtu na nikakwambia kama unaimani na dini yoyote ufate utaratibu ili kufahamu zaidi.

Kwa uchache wa ufahamu ni kwamba hivi viumbe(majini) tunaishi nao na wanamatamanio kama tulivyo sisi na huvutiwa na baadhi ya mambo kutoka kwetu kiasi cha kuwafanya wasogee karibu nasi.
Mhm!! Mbona sasa hawaonekani kwa macho ya nyama? Inafikirisha kidogo..!!
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
una jinin mahaba wewe
 
Ila mdogo wangu kwa nini unamtumia lakini kijana wa watu [emoji1787][emoji1787] ebu jitahidi tu umpende pende tu utamzoea tu
 
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!

Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣
Mama mdogo Heaven Sent (Miss you) Amekupa ushauri mzuri sana utumie mate, wacha kuchezea mtoto wa wenyewe.

Ila tupe siri basi mate, His stroke game
must be stronger!!! 🤣
 
Ila mdogo wangu kwa nini unamtumia lakini kijana wa watu [emoji1787][emoji1787] ebu jitahidi tu umpende pende tu utamzoea tu
Dada basi ngoja nijitahidi kumpenda hivyo hivyo 😹😹
 
Back
Top Bottom