Nijipigie promo kwani natafuta mume hapa?Una akili sana,
Maswali mazuri, akiyajibu kwa ufasaha, uzi uishie hapo.
BTW huwa natafuta mwanamke mwenye akili kama wewe. Sio kwaajili ya ngono, laah. Kazi kazi kazi.😎
Mbona kama unajipigia promo?
Tutajuaje huna msururu wa wanaume. Kwa mfano wangapi wamepitia hiyo suez canal so far?
Nimekuelewa sn mkuu..Mkuu hiyo michezo sina, naona hujanielewa. Hata hivyo asante kwa kusihiriki kutoa ushauri..!!
Basi uko vizuri, mwanamke sio kugawagawa tu ili mradi unagawa. Wengine akisifiwa tu anagawa. Achana na wale kitega uchumi.Body count yangu hata top 3 sifikishi..!😜
Kwa hili ukweli unaujua mwenyewe moyoni mwako. Kwakweli siwezi kujua yaujazayo moyo wako🤫🤫🤫Nijipigie promo kwani natafuta mume hapa?
Mwendo kasi, daah, moja, mbili tatu........ Mia tatu kwa yale marefu. Karagabhahoooo😎😎😎Tatizo mshazoea nyie kujaza bus za mwendokasi mnajua wote tuko hivyo..!!
Fuso🤣😂🤣😹😹😹 Dah!! Ila wewe jamaa umefanya nicheke bila kutarajia..!!
Tununu chinowanamanTwambombo
😹😹😹 Asante, nikipewa mimba pia nitashukuru si naongeza binadamu mpya duniani..!!Mimi sina mengi Lamomy zaidi ya kukupongeza kwa kutokuja na ID mpya.
Ila itakuwa kuna aina ya mpenzi unaitafuta na bado hujaipata, ila sio mbaya ukibaki kidogo na huyo anayekufikisha ila siku akikupa mimba nahisi utajilaumu sana.
Ila Lamomy nimeanza kukupenda, ila wewe hujajua tu, ila napotezea, ila..... ila......ila ndio hivo🤣Mimi sina mengi Lamomy zaidi ya kukupongeza kwa kutokuja na ID mpya.
Ila itakuwa kuna aina ya mpenzi unaitafuta na bado hujaipata, ila sio mbaya ukibaki kidogo na huyo anayekufikisha ila siku akikupa mimba nahisi utajilaumu sana.