Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Mama mdogo Heaven Sent (Miss you) Amekupa ushauri mzuri sana utumie mate, wacha kuchezea mtoto wa wenyewe.

Ila tupe siri basi mate, His stroke game
must be stronger!!! 🤣
You are missed big time momma.
Kwa kweli asimchezee uvulana wake kijana wa watu. Eti akishashusha uzito tu, anaanza kumchukia tena. Brod lamomy hafai
 
Lamomy ulishamwambia huyo kaka humtaki..... lakini huwa una hamu nae?

How?

Najiuliza kama simtaki mtu nakuwa na hamu nae kiaje? Na nikiwa na hamu nae wakati nilishamwambia simtaki namtafutaje?
Una akili sana,

Maswali mazuri, akiyajibu kwa ufasaha, uzi uishie hapo.

BTW huwa natafuta mwanamke mwenye akili kama wewe. Sio kwaajili ya ngono, laah. Kazi kazi kazi.😎
Tatizo linakuja mimi sio mtu wa kuwa na mahusiano mengi mengi…!!
Nikiwa na mtu basi ni huyo huyo.
Mbona kama unajipigia promo?

Tutajuaje huna msururu wa wanaume. Kwa mfano wangapi wamepitia hiyo suez canal so far?
 
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!

Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣
Nimeshakuambia wakati utafika utakubali nikuoe tu bila kukulazimisha
 
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Labda unapenda ulemavu wa maumbile aliyonayo..


Kama ushazoea kusaga kwenye mchi wa kinu basi Brenda haisaidii. kitu.
 
Back
Top Bottom