Hapana sijamuona wa kufanya nae maisha..!!
Rudia tena kusoma nilichoandika .wap nimesema unataka kuoa?Soma tena mkuu hakuna sehemu nimesema nataka kuoa?
Hii Mali safi kila mtu kumbe anatamani kua nayo eh?Chino wangu 😍
Hivi chino huwa unapotelea wapi? 😹
Hapa kurudi tena mwezi wa 4.!
Udugu umevurugwa au? 😂😂😂😂😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!
Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣
😂😂😂😂😂 ila mama malezi. WoiiiihYou are missed big time momma.
Kwa kweli asimchezee uvulana wake kijana wa watu. Eti akishashusha uzito tu, anaanza kumchukia tena. Brod lamomy hafai
Mtoto wa 2000 upo.Chino km chino, 😂😂😂😂
Nikifika huko 45+ wala sitokua na muda huo nitashinda gym na kuwaasa mabinti..!!Tatizo lenu mishangazi mkishafikisha 45+ nyege zinasumbua sana 🤭🤭.. na hizi ni tabia za watu wenye nyege mpitilizo.... Wanapenda wakiwa na nyege tu. Baada ya hapo unaonekana zombie...!
Duuh Hatari!Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Daah jamani, shem hizi dharau sasa, 2000 niko la 3.Mtoto wa 2000 upo.
😂😂Nani kakudanganya.. miaka hiyo mishangazi ndio unatafuta watu wakusugua visi.mi vzr...yaani kabla halijazamishwa msonobari awe amekojoa 🤭🤭. Basi mwache kijana wa watu Acha kumtumia kisa analulojoza tu...Nikifika huko 45+ wala sitokua na muda huo nitashinda gym na kuwaasa mabinti..!!
Afu huwezi amini mwaka huo ndio nilikua daresa la tatu kweli. Miaka 26 imepita. Chino nimekua sasa Acha Nitulie na dada ako tuDaah jamani, shem hizi dharau sasa, 2000 niko la 3.
Hahaha Coca tena hana mda huo.😹😹😹 Chap kwa haraka kashakua shem wako, hucheki na yoyote uduguuu.!!
Yani nimecheka hiyo SHEM khaaaa..!! 🤣