Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hakika, jaribuniTutajaribu
Hakika, jaribuniTutajaribu
Ulivyomuambia umemmis lazima mnara ulisimama 😆Alijifanya naye hajibu sms, nimempigia nimemwambia nimekumiss kaniomba location anifate 😹😹😹
Ujanja hana..!!
🤣🤣🤣🤣 Wokovu sio wa kila mshangazi wewe 🤣🤣🤣😹😹😹 Yaishe mkuu nishaokoka..!!
Sasa mikausho ya nini tena wakati watu mnaenjoy.....aisee mnakuwa na mambo ya kitotokuna mmoja alikuwa na hizo pigo, kumbe na mimi nilikuwa namtumia kama yeye anavonitumia, win win 😆,,, mara pap niko namsap alafu yuko alone, macho 😳😳😳,,
nilijikausha 10000000000%
akapiga simu, ikapokelewa na baby mama🤣,,,
akakata,,, tokea pale ni mikausho mwanzo mwisho nikapga na block 😆
Una kitu huu UziHuu uzi mzuri sana
HahahahaUshaanza kutumia vibaya vpn yako 😹😹
haha situmii VPN, ila uzi mzuri bora unamkumbuka kwenye hamu ya jambo, wengine wanakumbuka wakiwa na shida za pesa.Ushaanza kutumia vibaya vpn yako
😀 JF imepoa, nyuzi za moto kama hizi lazima zifukuliwe!Acheni marehemu wapumzike
siwezi kuishi bila wewe 🤣🤣Unajua vpn ya kulipia, sasa wewe endelea kutumia vibaya bando lako 😹
hahah!,uzi ufungwe hapa.Hahaha ngoja kwanza nicheke 😀
Nyege mbaya asikwambie mtu!