Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.

Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)

Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!

Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!

Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??

Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
tiGo umempa?
 
Nakuelewa kifupi atakua kero kwako
 
Sema nini wanaume tunapitia mengi 😆😆 huyo jamaa anapitia vimapito fulani ,angejua angepiga chini wewe sio mtu sahihi kwake ila atapata halafu utajuta sana
 
Alijifanya naye hajibu sms, nimempigia nimemwambia nimekumiss kaniomba location anifate 😹😹😹

Ujanja hana..!!
 
Ukweli ni kwamba hakunaga lofa miaka yote
 
Back
Top Bottom